Pages

Pages

Sunday, November 13, 2011

ZAHRA MBELWA MREMBO MWENYE MAKUSUDI YA KIMITINDO

 
 
 
 
 
                      Zahra model.
 
 
 
 
   Zahra nbelwa ni mrembo anaeshi maeneo ya Mbezi jijini Dar ana umri wa miaka 19 tu hobi yake ni kufanya kazi za mitindo na Muziki kwani fashiion ndiyo chaguo lake la moyo.
  Huyu Modo wa kizigua  hapendi majungu na rangi aipendayo ni zambarau na pink ama elimu ya cheti IT na chakula apendacho ni ndizi nyama kwa upande wa mahusiano anadai yuko single na muda bado na matarajio ya baadae ni kuwa mwanamitindo maarufu.


MSANII GTK AKUZA VIPAJI VYA HIP-HOP 
 GTK -Msanii mwenye ndoto za kuubadili muziki wa Hiphop kuwa wa kibiashara zaidi,pia anachukua shahada ya pili katika Chuo cha IFM.
  Msanii wa siku nyingi wa muziki wa kufokafoka GTK anakuja na project yake iitwayo "Malkia wa Hiphop" ambapo mchakato wa awali unaanzia Mkoani Tanga kisha kusambaa mikoa mingine,mchujo wa washiriki watano umefanyika na siku ya shindano ni Tarehe 26 mwezi huu ambapo itasindikizwa na wasanii maarufu nchini Tanzania.
  Tamasha hilo litakutanisha kizazi choto cha hiphop katika uwanja wa Mkwakwani kwa kiingilio cha Tshs 2000/= wakubwa na watoto Tshs 1000/= ambapo VIP watalipa Tshs 50,000/= Ambapo nusu ya tiketi zishanunuliwa. 

No comments:

Post a Comment