Pages

Pages

Tuesday, December 13, 2011

AICHI STANFORD MREMBO MWENYE NDOTO ZAKUKUZA TASNIA YA MITINDO

 
 
 

 
 

 
                                          
  Aichi Stanford ni mrembo wa wiki hii ana umri wa miaka 19 ana elimu ya cheti,hobi yake ni kuogelea,kuangalia sinema na kuchati na marafiki.
  Kimwana huyu ni mkazi wa kurasini na  kitu apendacho ni mafanikio na kitu asichopenda ni kudharauliwa na rangi aipendayo ni nyekundu,pinki na bluu maji.
  Katika upande wa mahusiano Aichi alishawahi kuwa na uhusiano na wanaume wawili na sasa yuko katika mahusiano na mtu wake,chakula apendacho ni ndizi nyama

    Matarajio ya baadae ni kufungua kampuni inayojihusisha na mambo ya mitindo na kujiendeleza katika tasnia ya urembo,kitu ambacho hatasahau ni ile siku baba yake alipoiaga dunia amgali wakiwa wadogo.



AMBER ROSE AWASTUKIA WANAOMWIGA STAILI YA NYWELE ABADILIKA
                Mwadada Amber rose aameonekana akiwa na mtizamo tofauti baada ya watu wengi kuiga staili yake kwa wingi ikiwemo wasanii wa Tanzania,Mwadafada huyo amestukia na kuwasaprize watu siku ya shoo ambapo Wiz Khalifa alikuwa akitumbuiza huko Atlanta katika "devin concert" 

No comments:

Post a Comment