BREAKING NEWS: BASI LA MTEI EXPRESS LAPATA AJALI
Basi la Mtei Express lililokuwa likitoka Babati kuelekea mjini Arusha linavyonekana baada ya kuinuliwa katika ajali iliyotokea jana eneo la Kisongo nje ya mji wa Arusha. Askari wakiwa kwenye eneo la ajali kusaidia majeruhi iliyohusisha basi la Mtei Express lililokuwa likitoka Babati kuelekea mjini Arusha eneo la Kisongo nje ya mji wa Arusha.
No comments:
Post a Comment