Pages

Pages

Wednesday, December 28, 2011

MAFUTA YAADIMIKA MKOANI KAGERA

Hii inahusu mafuta ya Petrol kuadimika kiasi cha watu kusimamisha shughuli za maendeleo na kusaka nishati hiyo ambayo imekuwa lulu mkoani kagera.
Hii ni hali halisi juu yasakata la mafuta mjini hapa mda huu ni kituo kimoja tu kinacho endelea kutoa huduma hii ni New Ama filling Station kilichopo machinjio ya zamani barabara ya Kashozi
Foleni ya magari mda huu kuelekea kituo cha mafuta.

No comments:

Post a Comment