Pages

Pages

Wednesday, January 18, 2012

AJIFUNGUA WATOTO WATATU AOMBA MSAADA KUWATUNZA


Mariam Ussi namba yake ni 0654336459, hakika anahitaji msaaada wa hali na mali kutokana na kubahatika kupata watoto watatu mapacha kwa wakati mmoja.watoto wanatumia maziwa LACTOGEN NO 2. yaani kwa siku anatumia kopo zima na linaisha.hatari......sasa huyu ana mapacha watatu na hana kazi ni mama wa nyumbani tu.
  anahitaji maziwa pamoja na vitu vingine ambavyo ni muhimu kwa malezi ya watoto.
Watanzania wote na taaasisi mbalimbali husika tafadhali tunawaomba msaidieni huyu Mama.

No comments:

Post a Comment