Pages

Pages

Tuesday, January 10, 2012

CHUO CHA MAPENZI CHAFUNGULIWA AUSTRIA


Nadhani ni Kwa mara ya kwanza toka uje duniani,nchini Austria kwenye jiji la Vienna, imefunguliwa shule ya kufundisha kufanya mapenzi aka World’s first international applied sex school
kiasi cha paundi 1,400 itatolewa kwa mwanafunzi atakayekaa hostel ambapo watakua wanafanya homework kabisa na Ylva-Maria Thompson, mkuu wa chuo hicho amefunguka kuwa elimu itakua inatolewa kivitendo zaidi

No comments:

Post a Comment