Pages

Pages

Wednesday, January 18, 2012

DIDA ATUHUMIWA KUUZA DAWA ZA KULEVYA CHINA

Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, ambacho hurushwa hewani  kupitia kituo cha Redio Times, Khadija Shaib 'Dida wa G', juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumiwa ujumbe wa meseji katika simu yake ya mkononi na jamaa mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika, akidaiwa kujihusisha na uuzaji dawa za kulevya awapo safarini nchini China.
 Ishu hiyo imemchanganya sana Dida na kushindwa kuikalia kimya hivyo akaamua kuiweka hadharani ili wadau wake pia waweze kuona jinsi jamaa huyo alivyo mtuhum.
Soma hapa chini jinsi Dida alivyofunguka kwa mkono wake mwenyewe.
"LABDA TU KWA UFUPI NI SIKUCHOSHE WEWE MDAU,USIYEPENDA MAENDELEO YANGU MIMI NI DIDA NA NITABAKI KUWA DIDA LABDA MUNGU APANGUWE,NAKUONEA HURUMA SANA UTAUMIZA KICHWA JUU YANGU LAKWANGU HULIPATI NA KAMA ICHO UNACHOKISEMA UNAONA DILI JARIBU NA WEWE TUONE UTABAKIA MANENO MANENO MTOTO KUTOKA TANGA NDIO KWANZA NAPETA, NA KUMBUKA TU FITINA ZAKO KWANGU NI MBOLEA ZINANIRUTUBISHA VYEMA NA WALA HUNIKATISHII TAMAA NDIO KWANZA MBELE NASONGA KAMA ULIKUWA HUJUI MELI KWANGU NDIO ISHATIA NANGA NA KAMA KUNA MWENGINE ANAHOFIA SAFARI ZANGU KATOENI TAARIFA KILWA ROAD KAMA MLIVYONIFANYIA MWANZO MKAUMBUKA JUENI TAA YA KIJANI IKIMUWAKIA MWENZIO JITAHIDI NA WEWE UZIME NYEKUNDU ITAKUUNGUZA

No comments:

Post a Comment