Pages

Pages

Tuesday, January 31, 2012

DJ CLEO WA FACEBOOK KUJA BONGO



Lebo ya OTHENTIC ambayo ndio inasimamia kazi za wasanii kadhaa wa bongofleva kama YOUNG DEE, imetangaza kumleta bongo kwa ajili ya show DJ CLEO, staa wa hit single ya FACEBOOK kutoka AFRIKA KUSINI.

C.E.O wa OTHENTIC producer Max amesema wako kwenye mazungumzo na wamefikia pazuri,  ambapo siku hiyo CLEO atasindikizwa na wakali wengine wa bongo kama Young Dee, Cosby, CP na wengine.

Amesema japo wameiandaa wao, pia wasanii wa lebo nyingine hapa bongo watapewa mwaliko wa kuperfom, japo list itakua ndogo.

show itafanyika march mwaka huu DAR ES SALAAM kwa ajili ya wanafunzi na wengine watakaopenda.

No comments:

Post a Comment