Pages

Pages

Wednesday, January 11, 2012

HOT NEWZ: SINTA NA JUMA NATURE WARUDIANA

Mr.Bean.
MSANII aliyetamba kwenye kiwanda cha filamu enzi zile Sintah (J.Lo wa bongo) amesema kuwa anatarajia kutoa filamu ya mwaka ambayo ameipa jina la ‘Sitaki Demu’, huku ikishirikisha wasanii wengine kama Juma Nature na nyota wa vichekesho kutoka Marekani Mr. Bean mwenye asili kutoka uingereza.
 Sintah aliweka wazi kuwa anataka kufanya filamu kwa kuvuka mipaka zaidi na akaweka wazi kuwa kufanya filamu na Juma Nature hakumaanishi kuwa uhusiano wa kimapenzi utachipua upya…..

No comments:

Post a Comment