Pages

Pages

Tuesday, January 17, 2012

KHADIJA KOPA,TIP TOP WAFUNIKA DAR LIVE

 Moto wa Dar Live unazidi kupamba moto kila wiki na wikiendi iliyopita, mwimbaji taarab mahiri nchini Khadija Kopa akiwa na TOT pamoja na wasanii wa Tip Top Connection, 
Mashabiki wakijiachia ndani ya Dar Live.
Kiongozi wa Tip Top Connection Madee akipagawisha mashabiki wa Mbagala
Safu ya unenguaji ya TOT ikiongozwa na Khadija Kopa jukwaani.
Ndani ya kiwanja cha Dar Live mashabiki wakila bata.
Watoto wakijiachia ndani ya Dar Live

No comments:

Post a Comment