LESENI MPYA ZAPELEKEA DEREVA KUJINYONGA
DEREVA wa gari abiria amejinyonga kutokana na sakata la leseni mpya kumpeleka mbio kiasi cha kujinyonga ambapo chanzo cha mauaji ya kijana huyo hakijajulikana vema kwani baadhi ya watu wanadai pesa alizopewa na bosi ndizo zilimpelekea kujiua ...lakini bado haijajulikana nini chanzo cha dereva huyo kujiua kwa kamba.
No comments:
Post a Comment