Pages

Pages

Monday, January 30, 2012

MAISHA WANAYOISHI WACHEZAJI WA AZAM FOOTBALL CLUB

Huyo ni mchezaji HIMID MAO, katika kila chumba wanakaa wawili wawili tu.
Kila chumba kina AC, choo na bafu,DSTV fulltime, kila mtu ana kitanda chake, kambi yao iko pembeni ya uwanja wao, Mbagala Chamazi.

No comments:

Post a Comment