Pages

Pages

Tuesday, January 24, 2012

MAITI YABEBWA KWENYE PIKIPIKI BUKOBA

Hali yakusikitisha mkoani Kagera maiti ilipobebwa kwenye pikipiki kama mzigo wa mahindi hii ni kutokana na ukosefu wa gari za kubeba wagongwa na ukata wa maisha mjini Bukoba.

No comments:

Post a Comment