MBIO ZA MARATHON ZAFANYIKA ZANZIBAR
Hashim
Makame kulia ambaye aliibuka mshindi katika mbio za Marathon za Jimbo
la Mtoni Zanzibar akiwa na mwezake wakipita mitaa mbali mbali katika mji
wa Zanzibar leo.
Kikundi cha Mchezo wa Sarakasi kikifanya onesho katika hafla ya
kukabidhiwa zawadi washindi ambao walishiriki katika mbio za Marathon za
Jimbo la Mtoni Zanzibar
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwatunuku
baadhi ya washiriki ambao walishindana katika mbio hizo za Marathon za
Jimbo la Mtoni Zanzibar
No comments:
Post a Comment