Pages

Pages

Sunday, January 1, 2012

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA ALIPOANDAA SHEREHE ZA KUKARIBISHA MWAKA MPYA

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akitambulisha baadhi ya waaalikwa waliosaidia kuchangia katika mfukio wa elimu wa kusomesha vijana mbalimbali nchini elimu ya sekondari hadi chuo kikuu wakati wa hafla ya mwaka mpya aliyoiandaa nyumbani kwake kijiji cha Ilikrevu  mkoani Arusha wakati wa mwaka mpya.
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakikata keki  katika sherehe ya mwaka mpya waliyoiandaa nyumbani kwao Arumeru Mkoani Arusha wakati wa Mwaka mpya,
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akicheza na watoto katika sherehe ya mwaka mpya aliyoiandaa nyuimbani kwake Arumeru mkoani arusha.
Mke wa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Faraja(wa pili kushoto)akiongoza Wageni Mbalimbali kucheza mziki

No comments:

Post a Comment