PINDA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini, Dkt
Yassir Mohamed Ali kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar
essalaam Januari 27,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt Yassir
Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari
27,2012.
No comments:
Post a Comment