Pages

Pages

Thursday, January 5, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA VIONGOZI WAPYA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC).

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Msatafu Damian Lobuva leo jijini Dar es Salaam kuwa Mkwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. (Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo)
Rais Jakaya Kikwete akimpatia nyenzo za kazi Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid (kulia) babada ya kumuapisha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Taifa, (NEC).
Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Julius Benedicto Mallaba kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo jijijini Dar es salaam,
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama Lubuva ambaye ni Mke wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji mstaafu Damian
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba (kush) akisalimia na Kaibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Peniel Lyimo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Peniel Lyimo (kulia) akibadilishana mawazo na Jaji Mkwawa (kulia) pamoja Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa katika hafla hiyo ya kuambishwa viongozi watakaoiongoza Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziori Mkuu Peniel Lyimo (mrefu) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika hafla hiyo leo jijini DSM.
Picha ya pamoja ya Rais Jakaya kikwete, Makamu wa Rais Dr, Bilal pamoja na viongozi wakuu wa mahakama na Tume ya Uchaguzi

No comments:

Post a Comment