Pages

Pages

Saturday, January 7, 2012

SHANNON DE LIMA MWANAMITINDO ALIEFUTA MACHOZI YA MARC ANTONY


 Mwanamitindo Shannon de lima toka VENEZUELA  ameziba pengo la J-lo kwa marc Antony na sasa imekuwa gumzo katika mitandao na majarida ya watu maarufu nchi za magharibi kuhusu uhusiano huu ambapo Marc amelipa kisasi cha kukimbiwa na J.lo mkewe wa ndoa ambapo kwa sasa  anamdate dancer wake "Smart".

No comments:

Post a Comment