Pages

Pages

Monday, January 16, 2012

SHEREHE ZA MWAKA MPYA WA KICHINA

 Burudani za wanadaa wa kichina zikiendelea jukwaani, hapa ni wakati waicheza Wakawaka ya kombe la Dunia lililopita.
 Burudani ikiendelea jukwaani.
  Wakimaliza burudani yao na kuaga kwa staili ya kipekee.
  Vijana wakimaliza na kuaga jukwaani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea mfano wa Hundi, yenye thamani ya Sh. Milioni 10, kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, (kulia) iliyotolewa na Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina wa Tanzania (CBCT) kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana, ikiwa  ni sehemu ya sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.(Sufian mafoto)

No comments:

Post a Comment