TWIGA STARS WAWAKUNG'UTA WABUNGE 2-1
Mchezaji
wa timu ya Bunge, Sadifa Juma akimtoka Fatuma Haibu wa Twiga Stars
katika mchezo wa kirafiki jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam
ambapo Wabunge waliichangia Twiga, sh. mil 3. Katika mchezo huo Twiga
ilishinda mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment