Pages

Pages

Wednesday, January 11, 2012

UNICEF YAMTOSA MWANAMUZIKI YOUSSOU N'DOUR

Shirika la wa Watoto Umoja wa Mataifa aka UNICEF imetangaza kuwa Msanii mkongwe toka Senegal,Youssou N’Dour ametemeshwa shavu la kuwa Balozi wao aka Goodwill Ambassador baada ya kutangaza nia ya kuwania Urais nchini Senegal
Kwa mujibu wa sheria za UNICEF,hairuhusu wanasiasa kufanya kazi za shirika hilo na kazi ya mwisho aliyoifanya Youssou N’Dour,ilikua ni September 2011 pande za Daabad-Somalia kwa waathirika wa njaa wapatao 435,000 na alichaguliwa kuwa Balozi wa UNICEF April 3, 1991

No comments:

Post a Comment