Pages

Pages

Friday, February 24, 2012

ASIA IDAROUS 100 FASHION SHOWs@NYUMBANI LOUNGE

 Mbunifu Asia Idarous alifanya hafla fupi ya kuwatunuku wadau,modelz na wabunifu kadhaa waliofanya vema katika show zake za Lady in RED,Show hii ilikuwa ni ya 100 tangu aanze kazi zake za ubunifu,hakika mchango wake upo katika tasnia hii.
 Mpango mzima wa ji-keki la kuazimisha FASHIO SHOW  100 ZA MBUNIFU Asia
 ...kata keki tulle...!1
Ali lehmtulah akimlisha keki Bi.Asia iDAROUs. khamsini.
 Khadija Mwanamboka alikabidhiwa cheti pia.
 Kalunde BAND WAKITUMBUIZA.
 Belinda akikagua kikwapa chake kama kinatoa bad smell ama ama ila hakumstukia paparazi magese alikuwa akipiga chabo zoezi hilo  la muda mfupi..picha pale pale pwaaa...!!
Brotherzzzzz...
 mWANDIShi wa Jambo leo.
 Wadada wenye mkwanja hapa town.
 Mwajabu Juma akiwa na miss kinondoni 2011-2012.
 Wadau wakienjoy show.
Captain G.ABASH alikuepo kupokea cheti ,alkadhalika STEVEN kANUMBA NAE ALIKUWEPO japo akuonekana pichani.
 Super model Mwajabu juma.
 Mario Mr Tanzania 2010 alipata cheti pia.
 Mbvunifu akipokea cheti toka kwa Asia IDAROUS hafla hiyo ilifanyika Nyumbni Lounge jijini DAR.
 Salm Ally mbunifu bora wa kiume katika fashion Show kubwa nchini TANZANIA,lADY IN rED
Wabunifu mbalimbali waliofika kupata vyeti vyao kati ya wabunifu waliofanya vema katika show ya mwaka huu.
 Unique entertainment Blog ilikabidhiwa cheti hiki kama moja ya blog iliyosapoti sana fashion shoW ya Lady in RED 2012,Aidha tumekuwa karibu na dada yetu Asia zaidi ya miaka 4 katika mchakato huu.
 Mwakilishi wa Darling HAIR AKIPOKEA CHETI.
 Super model mwajabu katika pozi na kamera ya Unique entertainment Blog
Models na mapozi kabambe..!1
 KAZA MACHO KIJANA..!!
 Gabriel akimlisha keki Asia
 Falha AKIMLISHA KEKI aSIA
 Super model Mwajabu Juma akipokea cheti maalumu cha utambu wa kushiriki vema katika Lady in Red
 Paja la Belinda MAJERAHA TUPU japo linang'aa kimtindo.
Wadau wakiwa katika tuhio husika la utoaji heshima kwa wabunifu,model na wadau kadhaa wakadhaa.

No comments:

Post a Comment