Pages

Pages

Friday, February 24, 2012

BENKI YA NBC YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU WANAWAKE

Nahodha wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Vivienne Mwaulambo (kushoto) akizungumza kabla ya kupokea msaada msaada huo kutoka benki ya NBC. Katikati ni Meneja Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo na kulia ni Katibu wa kitengo, Joyce Svarva.
Meneja Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo ( wa pili kushoto) akikabidhi mfani wa hundi ya shs milioni kwa Nahodha wa Kitengo cha gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Vivienne Mwaulambo kusaidia mashindano yao yanayotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo katika klabu hiyo ijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni maofisa wa NBC na viongozi wa kitengo hicho cha gofu.
Maofisa wa NBC pamoja na wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wakipiga picha ya pamoja katika hafla hiyo jijini Dar es salaam leo.
Nahodha wa Kitengo cha Gofu ya Wanawake cha Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Vivienne Mwaulambo (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa NBC baada ya kupokea msaada msaada huo kutoka benki ya NBC. Kutoka kushoto ni, Arden Kitomari, Meneja Chapa na Matangazo, Eddie Mhina; Mshauri wa awasiliano na Meneja Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo.

No comments:

Post a Comment