FRANCIS CHEKA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF RAUNDI 12 APRIL 28 PTA SABASABA
Bondia
Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania
ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Aprilo 28.
Bondia
Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba
uho leokupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi
wa PTA Sabasaba Aprilo 28
Makamu
mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka
Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransc Cheka kulia na Mada Maugo
jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF
raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 28
No comments:
Post a Comment