Pages

Pages

Wednesday, February 8, 2012

IDADI YA WAGONJWA WANAOKUFA KWA KUKOSA MATIBABU YAONGEZEKA MUHIMBILI

Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari
Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Muonekano wa Wodi Mbalimbali
Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa
Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu kabisa
Koridoro za hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zikiwa Tupu Leo hii kufwatia Mgomo wa Madaktari Nchini
Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu
Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre,
kwa taarifa iliyopo sasa ni zaidi ya wagonjwa 35 hufa kwa siku toka mgomo uanze kulingana na idadi ya awali ya watu 15 kwa siku

No comments:

Post a Comment