Pages

Pages

Wednesday, February 15, 2012

KINGWENDU, G MOB, MATALUMA, ABOUD JUMBE NA FIVE STARS WAFUNIKA VALENTINE’S DAY DAR LIVE

 Kingwendu  (kushoto) akikamua na mmoja wa wanenguaji wake.
 Akiserebuka na kundi zima la Mapepe Family.
Akiigiza na mmoja wa waigizaji wake.
 Juma Mataluma akipagawisha mashabiki.
 Akicheza kiduku.
Wakali Dancers wakiwajibika jukwaani.
Inspector Haruni (kushoto) na Luteni Karama wakiwakilisha Gangwe Mob.
Luteni Karama (katikati) akijinafasi.
Msanii wa New Five Stars Modern Taarab, Mussa Kijoti, akimuenzi marehemu Issa Kijoti kwa wimbo.
Baadhi ya waimbaji Five Stars.
Fundi mitambo wa Dar Live, Maulid Kidabu (katikati), akitoa maelezo kwa  wenzake wakati shoo hizo zikiendelea.
Msanii mkongwe, Aboud Jumbe, akikamua na wanamuziki wenzake.
Baadhi ya mashabiki waliozama ukumbini humo wakijinafasi.
MSANII wa vichekesho na muziki wa kizazi kipya Bongo, Rajab Mwishee ‘Kingwendu’  na kundi zima la Gangwe Mob, Juma Mataluma, Aboud Jumbe na kundi la New Five Stars Model Taarab, usiku wa kuamkia leo zilifanya makamuzi ya kufa mtu kwenye siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’, ndani ya kituo cha maraha cha Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment