Pages

Pages

Monday, February 6, 2012

KITUO CHA UTAMADUNI CHA IRAN CHAFANYA MAADHIMISHO YA MAPINDUZI YA KIISLAMU NCHINI IRAN.

Mkurugenzi mtendaji kituo cha utamaduni wa jamhuri ya kiislam Bw. Mortazar Sabour akiongea na waandishi wa habari kwenye maadhimisho miaka 33 ya mapinduzi ya kiislam ya yaliyotokea mwaka 1979 chini ya utawala wa Imamu Ayatolla Khomein yaliofanyika juzi katika kituo cha utamaduni cha Iran jijini Dar es salaam.
w Mortazar Sabour akisisitiza jambo kwenye maadhimisho hayo.
Baadhi ya waumini wa kiisilam wakiangalia picha za kumbukumbu za mapinduzi ya Iran katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya waumini wa kiisilam wakiangalia picha za kumbukumbu za mapinduzi ya Iran katika maadhimisho hayo.
Wanafunzi wa shule ya Darul Huda Islamic wakiimba wimbo wa Taifa kwenye maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment