Pages

Pages

Friday, February 3, 2012

KIWANDA CHA MAGODORO CHATEKETEA KWA MOTO DAR


Askari wa kikosi cha kuzima moto wakizima moto huo. 
Watu mbalimbali wakiangalia tukio hilo.
 yakiendelea na kazi ya kuzima moto.
Hiki ndiyo kiwanda chenyewe kama kinavyoonekana kikiwa kimeteketea kabisa. 
 kiwanda cha magodoro cha Pan African kilichopo Chang'ombe jijini Dar es salaam, kiwanda hicho kimeteketea kabisa kwa moto uliolipuka kutokana na mlipuko uliotokea kwenye mashine za kunolea visu vya kukata magodolo kiwandani hapo, Kamanda Misime amesema hakuna taarifa ya mtu yeyote kupoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo la moto

No comments:

Post a Comment