Pages

Pages

Sunday, February 5, 2012

MWANAFUNZI AJALI YA KOROGWE AFARIKI DUNIA

 Habari  kutoka Kilimanjaro zinapasha kuwa mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea Korogwe Februari 2,2012 Zahara Jumanne amefariki dunia.

Zahara alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi na raia waliojeruhiwa na gari namba T 489 AGJ, lililokuwa likiendeshwa na  Mwanafunzi wa kidato cha Sita Kibibi Mmasa wakati wa pilika pilika za mahafali ya shule ya Korogwe.

Inadaiwa kuwa Zahara aliumia vibaya katika ajali hiyo ambayo pia ilimjeruhi mpigapicha maarufu wa Mjini Korogwe “Ngoswe”.


No comments:

Post a Comment