Pages

Pages

Friday, February 3, 2012

MWANAFUNZI AJERUHI WENZAKE KWA GARI KORONGWE

Mpiga picha maarufu mkoani Tanga, Elias Mgole alimaarufu Ngoswe, akiwa kwenye Bajaj akipelekwa Hospitali ya Mangunga, baaja kujeruhiwa kwa kugongwa na gari namba T 489 AGJ, lililokuwa likiendeshwa na  Mwanafunzi wa kidato cha Sita Kibibi Mmasa, katika eneo la Mahafali ya Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Wasichana ya Korogwe, mjini Korogwe leo.
Mwanafunzi Kibibi Mmasa aliyekuwa anaendesha gari hilo, akiwa chini ya ulinzi wa Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya ajali hiyo kutokea.
Majeruhi wakitibiwa katika Hospitali ya Magunga, Korogwe
Gari lilohusika katika ajali hiyo. Picha na Mashaka Mhando)

No comments:

Post a Comment