Pages

Pages

Thursday, February 16, 2012

PINDA AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI TANZANIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young- Hoon Kim kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Feb. 16, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Bw. Young - Hoon Kim, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb. 16, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment