Pages

Pages

Sunday, February 5, 2012

SHEREHA ZA MIAKA 35 YA CCM ZAFANA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amebeba mtoto wa moja kati ya wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Sanaa imekolea kizazi kipya.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda hakuona hasara kujumuika kusakata magoma.Mzuka wa wakereketwa.JK akisalimia vikundi mbalimbali vya sungusungu.
Hapa lilidondoshwa twarab' la TOT.Moja ya vikundi vya jeshi la sungusungu mkoa wa Mwanza.Aho lulu'

No comments:

Post a Comment