Pages

Pages

Thursday, February 2, 2012

SIMBA YAICHAPA JKT OLJORON

Club ya simba imeibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya timu ya JKT Oljoro katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam mabao hayo yalifungwa na mchezaji wa simba Emanuel Okwi.
Simba walicheza pungufu baada ya mchezaji Haruna Moshi kutolewa nnje kwa kadi nyekundu.

No comments:

Post a Comment