Pages

Pages

Thursday, February 16, 2012

V-DAY YA J-LO NA BOY TO

Jennifer Lopez and her 24-year-old boyfriend Casper Smart were quite the lovebirds and enjoyed a Valentine's Day frolicking on the sand in Santa Barbara on Tuesday.

Besides holding hands and taking long walks on the beach, Jen even climbed up on top of Casper to ride the swing together.



HAFLA YA UZINDUZI WA NEMBO YA REDD’S MISS TANZANIA 2012 YAFANA SANA JIJINI DAR

Warembo walioshiriki Miss Tanzania mwaka 2011,wakiongozwa na Mrembo anaeshikilia taji hilo.Salha Israel (wa tatu kushoto) wakifungua pazia kuaziria uzinduzi wa nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012 wakati wa hafla iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
Baada ya Uzinduzi sasa ni Burudani ya kijipongeza kwa warembo wa Miss Tanzania na Wakuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ndio wadhamini wakuu wa Redd's Miss Tanzania 2012,pembeni ni Vicky Kimaro.
 Mkrurugenzi wa Giraffe Ocean View Hotel Dt.Charles Bekon akibadirishana mawazo na wadau kadhaa wakati hafka hiyo ikiendelea.

No comments:

Post a Comment