Pages

Pages

Thursday, February 2, 2012

WAOSHA MAGARI WANAVYONYANYASIKA MJINI MBEYA


Moja ya vijana waosha magari katikati ya jiji la Mbeya akibebwa juu kwa juu mara baada ya kukamatwa na mgambo wa Halmashauri ya jiji imewapiga marufuku vijana hao kuosha magari katikati ya jiji kwani wanachafua barabara na kuwasumbua wenye magari kuwalazimisha kuwapa hela.
Mgambo wa jiji la mbeya wakiwakamata vijana waosha magari, wanaoendesha shughuli zao katikati ya jiji, na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment