Pages

Pages

Tuesday, February 14, 2012

WAREMBO 20 WAPENYA SHINDANO LA CHEZA,IMBA,VAA KAMA RIHANNA

Baaadhi ya washiriki waliongia hatua ya ishirini bora katika shindano la cheza ,imba na vaa kama mwamanuziki wa MAREKANI RIHANNA wakifurahia baada ya kutangazwa kuingia hatua hiyo,shindano hilo linaandaliwa na ukumbi wa DAR LIVE uliopo MBAGALA ambapo mshindiatajinyakualia zawadi ya shilingi milioni kumi taslimu

No comments:

Post a Comment