Pages

Pages

Monday, March 5, 2012

6 WAFARIKI 46 WAJERUHIWA AJALI ILIYOTOKEA KIHABA

Jana jioni ajali mbaya iliyogharibu maisha ya watu 6 na wengine 46 kujeruhiwa ilitokea mkoani Pwani kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti leo hii. Kama hamkupata taswira baadhi ya picha zilizopo hapa chini zitawaonesha jinsi hali ilivyokuwa. Baadhi ya picha hatukuweza kuzituma kwa sababu ya maadili na heshima ya utu wa mwanadamu.

No comments:

Post a Comment