Pages

Pages

Saturday, March 24, 2012

AFANDE SELE AMBWATUKIA CHID BEENZ..NI BAADA YA CHID BENZ KUTAKA KUMTEKA

  
Msanii Afande Sele aligeuka mbogo baada kumjibu msanii mwenzake Chid beenz kuwa hawezi kumteka na hana uwezo huo kwani Fande ameshakua mwanajeshi JWTZ na akaacha jeshi hivyo awezi kutishiwa amani na raia kama Chid Beenz.
"mimi nimekua kilipwa mshahara wa Jwtz na nimekulia hapo kariakoo iweje natishwa na mtoto aliekulia Ilala" ALIONGEA aFANDE
  Hii ilikuwa katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV ambapo afande alifunguka baya Chid Benz kumwambia atamteka,hata hivyo afande alielezea jinsi anavyomfahamu Chid na anamchukulia kama bwana mdogo tu.
 Pia alnia yake ya kutaka kugombea ubunge 2015 ,hivyo Chid ameombwa kumuomba radhi Afande kwani asipofanya hivyo ni kama anajimaliza kisanaa kwani ni wazi anatambua Afande ana mashabiki wengi na kwa kitendo alichokifanya Chid sio cha kiungwana.

No comments:

Post a Comment