Pages

Pages

Tuesday, March 13, 2012

CMB PREZZO NA REDSUN WAPATANA,WAREKODI NYIMBO CHINI YA KIWANGO

                       CMB Prezzo
Msanii mwenye majitapo ya fedha Prezzo CMB N na hasimu wake wa siku nyingi sasa wamepatana na kuamua kumaliza tofauti zao kitu kilichopelekea kurekodi nyimbo pamoja. 
          Redsun
Wadodosaji wa mambo ya kimuziki nchini Kenya wamesema nyimbo hiyo iitwayo"sema nao" iko chini ya kiwango licha ya wasanii hao kuwa na vipaji vya hali ya juu.

No comments:

Post a Comment