Pages

Pages

Tuesday, March 20, 2012

MKWASA AITA 25 WA TWIGA STARS

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 25 kitakachoingia kambini Machi 25 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya program yake ya maandalizi kabla ya mechi dhidi ya Ethiopia. 
Wachezaji walioitwa kambini ni Amina Salum (Lord Baden Sekondari, Pwani), Asha Rashid (Mburahati Queens), Aziza Mwadini (New Generation, Zanzibar),
Esther Mayala (Street Girls, Mwanza), Evelyn Senkubo (Mburahati Queens), Fadhila Hamad (Uzuri Queens) na Fatuma Bashiri (Simba Queens). 
Wengine ni Fatuma Gotagota (Mburahati Queens), Fatuma Khatib (Mburahati Queens), Fatuma Mustafa (Sayari), Fatuma Omari (Sayari), Hanifa Idd (Uzuri Queens), Maimuna Said (JKT), Mwajuma Abdallah (JKT),  Mwanahamisi Omari (Mburahati Queens) na Mwanaidi Khamis (Uzuri Queens). 
Mwapewa Mtumwa (Temeke), Rukia Khamis (Sayari), Semeni Abeid (Tanzanite), Siajabu Hassan (Evergreen), Tatu Salum (Makongo Sekondari), Upendo Jeremiah (Pangani, Tanga), Veneranda Mbano (Tanzanite), Zena Khamis (Mburahati Queens) na Zena Said (Uzuri Queens).

No comments:

Post a Comment