Pages

Pages

Saturday, March 17, 2012

MSANII TIMBULO KUJA FILAMU ..JE KUNA JIPYAA..??

      
 Msanii anaebadilisha nyimbo za kikameroon na kuziimba kwa kiswahili ikiwa zina muigo thabiti kwa melody na beat na za msanii huyo wa cameroon,Timbulo amesema kuwa yuko mbioni kuja na filamu iitwayo "domo langu".
  Timbulo ambae amejipatia umaarufu kupitia ubunifu wa msanii X-maleya wa Camerron,kutokana nyimbo zake zote "domo langu na "wa leo wa kesho" kukopi na kupest hivyo kuwafanya mashabiki wa filamu kutegemea kopi ya movie kama ilivyo kawaida yake ya kutoumiza akili na kutegemea kuwika zaidi kizalizali.
  Hata hivyo Timbulo amesema kuwa shughuli za kuchukua clips za filamu hiyo zitaanza mwezi wa nne,wadododsaji wa habari za burudani wanadai kuwa si rahisi kwa kijana huyo kufanya maajabu sana katika filamu hiyo pengine tusubiri kilichomo katrila filamu hiyo.

No comments:

Post a Comment