Pages

Pages

Friday, March 30, 2012

SEMINA YA MAWAKALA WA REDDS MISS TANZANIA 2012

Katibuwa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majalkiwa (kulia) akizungumza wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Redds Miss Tanzania 2012 iliyofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni  Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, HashimLundenga.
 Mkurugenziwa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) akizungumza wakati waSemina ya Mawakala wa Mashindano ya Redds Miss Tanzania 2012 iliyofanyika kwasiku mbili na kumaliza jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Kamati ya MissTanzania, Bosco Majalkiwa
 Wakalawa Miss Tanzania 2012 kutoka Mkoa wa Shinyanga, Asela Magaka akichangia madawakati wa semina ya siku mbili ya Mawakala wa Redds Miss Tanzania 2012iliyofanyika kwa siku mbili na kumalizika jana jijini Dar es Salaam.
Wakalawa Miss Tanzania 2012, kutoka Ukonga jijini Dar es Salaam, Daudi Mambyaakichangia mada wakati wa semina ya siku mbili ya Mawakala wa Redds Miss Tanzania2012 iliyofanyika kwa siku mbili na kumalizika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment