Pages

Pages

Sunday, March 11, 2012

SITA AMNG'ARISHA JACK FISH MWANZA

Sehemu ya umati uliofurika kwenye uwanja wa Magomeni Kirumba katika mkutano wa hadhara wa kwanza wa kumnadi mgombea wa kiti cha udiwani kata ya Kirumba Mwanza, uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani ya kata hiyo marehemu Novatus Manoko. 'Kubaliko' kwa vijana.Kwa mugongo jeh!
Kutoka kushoto meneja wa uwanja wa CCM Kirumba John Tegete, Mgombea udiwani Jack Masamaki na Mh. Sita. Safari ikaanza kupita mitaani ambapo kituo cha mwisho ilikuwa ni ofisi za CCM kata ya Kirumba. Akinamama walifunga vibwebwe kuhakikisha wanamuunga mkono mwana wao wa nyumbani kufanikisha adhma yake iliyo na nia njema kwa wakazi wa kata ya Kirumba.Viatu isiwe tabu Ngoma inogile....... Salaaamu kwa wadau wa ukweli mitaa ya Kirumba Polisi.........Msafara ulikatisha sokoni kwa mbwembwe ukitoa salamu kwa wapiga kura...

No comments:

Post a Comment