Pages

Pages

Thursday, March 8, 2012

WAETHIOPIA 98 WAFIKISHWA MAHAKAMANI MOROGORO KUJIBU MASHITAKA YA KUINGIA NCHINI ISIVYO HALALI

 Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakitaremka kwenye gari la polisi katika Mahakama ya Hakim Mkazi Morogoro, kujibu mashitaka ya kuingia nchini isivyo halali. 
Sehemu ya raia wa  Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro jana, wakisubiri kusomewa mashitaka likiwemo la kuingia nchini bila kibali walipokamatwa katika Kijiji cha Melela, Wilaya ya Mvomero wakati wakisafiri kuelekea Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuvuka mpaka.Kesi hiyo iliahirishwa kwa kukosa mkalimani. 
Picha na mdau Juma Mtanda.

No comments:

Post a Comment