Pages

Pages

Saturday, April 7, 2012

BREAKING NEWS: STEVEN KANUMBA HATUNAE TENA DUNIANI

Habari zilizonifikia now ni kuhusu Bongo Movie Star Steven Kanumba kuwa amefariki dunia usiku huu kwa kudondoka gafla na kukimbizwa hospital ya Mwimbili na mauti yalipomkuta. 
Ndugu wanasema baadae asubuhi ndio watatoa taarifa rasmi

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen

No comments:

Post a Comment