Pages

Pages

Friday, April 27, 2012

MTU MMOJA AGONGWA NA KUPOTEZA MAISHA PAPO HAPO


Mwili wa Marehemu baada ya kugongwa

Mwili wa marehemu ukihifadhiwa kwenye plastiki ili kuzuia damu kusambaa
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la  Mbaraka Abdalah (pichani)  ambaye ni mlemavu wa miguu na mkazi wa kijiji cha Mbekenyera  Wilayani Ruangwa - Lindi amekumbwa na umauti baada ya kugongwa na gari aina ya  Landlover akiwa katika matembezi yake ya kila siku . Hadi napata habari hii Dereva aliyesababisha ajali hiyo amekimbia na kuelekea kusikojulikana.

No comments:

Post a Comment