Pages

Pages

Tuesday, April 3, 2012

VITUKO PICHANI: CUF NA BANGO LA MAITI YA MGOMBEA WA CCM TANGA

Leo katika pitapita yangu maeneo ya kata ya Msambweni hapa jijini Tanga,nimekutana na kituko cha kusikitisha lakini kilichobeba ujumbe mzito kwa chama tawala. Ujumbe huo unasikitisha sana sana sana...kwa sababu umebeba picha ya umauti, Mimi kama mwanachama wa chadema, nimeshangazwa na namna wanachama wa CUF walio amua kutumia jeneza bandia na kikaragosi cha maiti kuonyesha hisia zao za kufurahia ushindi wa kata hiyo walioupata kwenye uchaguzi uliofanyika jana.Haya ndio nimeya shuhudia kwenye upita njia wangu eneo la kata yaMsambweni ambayo ni mojawapo ya ngome za CUF kwa hapa jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment