Pages

Pages

Wednesday, April 11, 2012

WABUNGE HALIMA MDEE WA CHADEMA NA ESTER BULAYA WA CCM - WAANZISHA KAMPENI YA KUMSAIDIA LULU NA FAMILIA YAKE.

Mbunge wa kawe/Chadema Halima mdee yeye pamoja Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) jana walienda kumuona Lulu, na kwa wakati huu Mh Halima Mdee kupitia mtandao wa Tweeter anaendesha kampeni ya Kuchangisha Pesa za malazi kwa ajili ya familia ya Lulu (mama yake).Mh.Halima mdee amesema kwamba lulu anahitaji mwanasheria makini wa kuweza kumnasua kwenye kesi hiyo, lakini pia anahitaji mwana saikolojia (psychological support) wa kuzungumza nae ili aweze kuwa fresh kiakili. kwa wakati huu Lulu anashikiliwa katika kituo cha polisi Oysterbay 


Halima J Mdee ‏ @halimamdee 

Watz wenzangu. Leo mimi na mhe. Bulaya tulikwenda kumuona Lulu oysterbay polisi. She really needs our support. Kwanza she is only 17..


 Halima J Mdee ‏ @halimamdee  
Nne,at that tender age ndio alikuwa anategemewa na familia yake. Now yuko ndani matatizo yamezidi kuwa makubwa.


Halima J Mdee ‏ @halimamdee 
Kwa yeyote anayeguswa,naomba atume chochote kwenye namba hii 0754878890 ni namba ya m pesa ya mama yake Tumsaidie huyu mtoto! 

Again ..Namba ya M -PESA kwa wanaotaka msaidia Binti yetu Lulu+255754878890.Ni namba ya mama yake!
SOMA TWEETS ZA @HALIMA MDEE
 

Halima J Mdee ‏ @halimamdee 
Pili anahitaji sana psychological support. Nawaomba watu wenye taaluma hiyo wasisite kwenda kumuona. wasiliana na 0714282527steve nyerere. 


J Mdee ‏ @halimamdee  
Tatu anahitaji wanasheria makini wa kumsaidia. Kwa yeyote ambaye yuko tayari naomba awasiliane nami 0759569823.. 

No comments:

Post a Comment