Pages

Pages

Saturday, April 7, 2012

WEMA SEPETU AICHEFUA EAST AFRICA TV

 Muigizaji na aliekuwahi kuwa Miss Tanzania Wema Sepetu usiku wa jana alicha midomo wazi wapenzi wa burudani hususani watizamaji wa kipindi FNL kinachorushwa na EATV ambapo alivua mic na kisha kusepa baada ya kuboreka na maswali ya watangazaji na mashabiki.
 Maswali kuhusu Diamond dhidi ya wema katika mahojiano hayo yalimboa sana Wema kiasi cha kuuzika na kuamua kutoongea kisha kuchukua maamuzi magumu ya kuondoka angali kipindi kikiendelea bila ruhusa na mtangazaji.
 Wadodosaji wa habari za watu maarufu zinasema kuwa Wema aliingia kwenye kipindi akiwa na jazba kana kwamba alijua usiku huo anaenda kushambuliwa na maswali mazito kuhusu mahusiano yake na Msanii diamond ambapo sasahivi uhusiano huo haupo tena.
 Mtangazjai wa kipindi hiko Sam Misago na Lady Naah walitakiwa kusoma mood  ya wema kabla ya kuanza kumshambulia na maswali ambayo yalimpandisha jazba kiasi cha kukerereka na kuamua kusepa licha ya kuja na meneja wake ambae alishindwa kutuliza jazba mteja wake.
  wema anakiwa kua na hekima kwani anapoonga na mtangazi mmoja jua unaonga na dunia nzima huu ni muda wako wa kusahihisaha makosa yako ili watu wakichunguza waprove wrong mambo unayosingiziwa kama si hukutenda.

No comments:

Post a Comment