Pages

Pages

Friday, May 25, 2012

MISS KURASINI 2012 MAMBO MOTOMOTO



Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika Picha ya pamoja baada ya kuzungumza na Kamati ya Miss Tanzania.

Wakati Nameems Wear wakiwa ni wadhamini wakuu, wakisaidiwa na Redds, Dodoma wine, Clouds FM, Lady Pepeta, Father Kidevu Blog, Jambo Leo, Aucland Tours & Safaris, Candy Bureau de Change, Flexip, PJ Amusement, Renzo Saloon na Madishisha Video Production.

Aidha Jumla ya warembo 16 wamejitokeza kuwania taji la Redds Miss kurasini 2012, ambalo taji linashikiliwa na Top Model wa Miss Tanzania 2011, Mwajabu Juma.

Akiwataja warembo waliopo kambini na kunolewa na Mwajabu Juma akisaidiwa na Malkia wa vipaji wa Miss Tanzania 2011, Rose Hurbert ni Mariam Sadic (19), Johari Juma (20), Linda Deus (20), Irene Sostheness 20), Neemadoree Sylvery(29), Edna Magige (22), Lindanancy Joseph(20), Elizabeth Mkende (19), Betty Peter (22), Jennifer Njabili (18), Lilian Joseph (20), Farida Mrope (23), Christina Moses (20), Angle Gasper (19), Flaviana Maeda(22) na Sia Kimambo (19). (

No comments:

Post a Comment